Ijumaa, 12 Agosti 2016

De 11

Gangstar noma
By: benchrys
11
.we ben tukakutane pale ofisi kwangu kwangu na nyie wanafunzi wa darasa hili mmezidi mikelele hadi mkuu anakuja kuwatuliza akiwa na maviboko yote yale mjue nyie ni too much hivi mkitulia kimya mtapungukiwa nini katika miili yenu nimewatetea leo tuu rudieni na kesho nitakuja kumsaidia huyo mwalimu atakaekuwa ameingi akuto ahiyo adhabu tumeelewana lakini sio mnakaa kimya tuu mimi ninapoongea halafu hapa nikitooka tu mwendo mmoja kupiga makelele yenu kama mashine za kusaga njegele hivi mnajua kuwa mnamtihani mbele yenu. Aliuliza madam linda.. wanafunzi wote kwa sauti ya chinichini waliitikia ndio,, mnajitia mnaitikia sauti ya chini huku mkishaanza makelele yenu hapa hadi inakuwa usumbufu kwa sisi wengine ok masomo mema. Madam alivomaliza kuongea hivo alitoka nje

****ben nae akiwa anaelekea kule ofisini alikoambiwa na madam aende akiwa katika kiunga kimoja aliitwa na mkuu mana mda wote mkuu alikuwa bado hajatoka pale nje alipokuwa amesimama baada ya kutoka kule darasani kwa akina ben
ben hebu njoo hapa!!! Ilikuwa ni sauti ya mkuu akimwita ben baada ya kumwona ametoka darasani huku madam bado akiwa yupo mle ofisini,, inamaana wewe ndio kichwa cha hilo darasa au inakuwaje huu simuda wa vipindi na wewe bado nakuona nje kama hivi au kuna tatizo?
Hapana. Ben nilijibu hivo kisha mkuu kama kawaida yake akaendelea na maswali yake mana kawaida ya huyu mwalimu yeye kwake ukiona hiyo siku yupo kwenye gud mood atakuuliza tuu maswali 10 au 12 hapo ndio kwako inatakiwa uone afadhali sifahamu sana alikoanzia kazi yake ila nahisi alikuwa alikuwa hakimu katika kituo fulani kwa fununu ambazo zinasikika katika sehemu nyingi tuache hayo,, aliniuliza maswali mengi sana hadi nikahisi kichwa kinauma baada ya mda kidogo ndio nikasikia sauti ya madam kuniita dah hapo niliona kama kuna msaada nimeshapata mana nilikuwa natafuta point ya kumzuga mkuu ili tuu niachane nae pale kukwepa maswali zaidi
      We nilikwambia nikakukukte ofisini kwangu imekuwaje sasa hadi saizi bado tuu unaongea na mkuu wako hapo,, aliuliza hilo swali madam akiwa anaonyesha kwamba hajafurahishwa kabisa, samahani ila muda ule ametoka darasani alikuwa bado hajaingia ofisini kwake alilkuwa tu pale nje amesimama, nilimjibu hivio madam nikiwanimekaa nangoja kijua madam alichoniitia kule ofisini ni nini akaingia monita wa kidato cha nne akiwa kashika daftari lake mkononi kuonyesha kwambana shinda nikaambiwa nenda kanisubiri hapo nje nilitoka nje nikarudishia ule mlango baada ya kuangalia upande wangu wa kulia nilijikuta nikiondoka mbiombio kutafuta usalama wangu, ilikuwa ni kama vita ishaanza katika mtaa huu,
Baada ya kufika mbali kidogo nikatulia na kupumzika nikiwa nimekaa walipita wanawake wawili wakiongea habari zao ila msikio yangu yalileta umbea baada ya kuona kama hii mada wanayoongelea ni ya muhimu kwa namna,,
Hivi yule mzee kweli ataanzisha hizo vita zake za kimya kimya au alikuwa anatania tu hii serikali.
Weee yule ni hatari aisee unakumbuka kipindi kile walipotaka kunyanganya ile nyumba yake ya mtaa wa saba.
Hapana unataka kusema hata kipindi kile aliyeua wale watu ni yeye au!
Jibu ndio hilo hapo hata serikali yatu inaelewa sema basi tuu sijui kwanini wasitafute eneo jingine kwaaajili ya kujenga hiyo shule
,,,,,,,hapo ndio na mimi nikaja kugundua kwamba hapa ile shule tayari ishavamiwa sikutaka hata kurudi tena kule maana hata kupigana mimi siompenzi sana wa hayo mambo labda pale inapotokea imenilazimu kufanya kitendo kama hicho.nikawa naangalia kwenye njia ya kuelekea nyumbani ili nikajipumzishe tuu kule nyumbani kwa mbali niliweza kuona kuna watu wengine kibao wakiwa wameshika silaha zao za moto kwa maana ya bunduki nikajisemea mwenyewe duh kweli hii inaonekana itakuwa ni vita tena sio ndogo inaama huyu mzee yeye ni nani ambaye anabishana na serikali,,
Sikupoteza mda nikaangalia njia ambayo naweza kupita ambayo haina wale watu kulikuwa na njia ya chocho moja hiyo niliwezakuona kwangu inaweza kuwa ni salama acha tuu nipite licha ya kuwa sijui inaelekea wapi hii njia niliifuata ile njia hadi badae ikawa tayari ni giza mitaa yenyewe hata siijui ni wapi nipo,, nilitembea hadi nilifika sehemu nyingine ambako huko hata mwanga wa taa za umeme ulikuwako
****huko nyumbani walikuwa wakijadili jaman mbona leo ben hadi saizi harudi kuna nini kimewatokea Naomi alijibu hilo swali kwa kusema sio ben tuu leo hata mwanafunzi mmoja sijamuona akiwa anapita huko nje baba kusikia hivi akataka aondoke kuelekea hadi huko shuleni saa ya ukutani ilikuwa ikionyesha kwamba ni saa nne kasorobo, baba akiwa anafungua mlango taa zote zilizima alipofunua pazia kujua nini kumbe haikuwa ile nyumba yetu tu hadi kwa majirani nadhani umeme ulikuwa umekata mama akasema huwezi kuondoka kukiwa na hali kama hii tufanye huu uchunguzi siku ya kesho tujihimu shuleni kwao.

.huku na mimi nikiwa naendelea kutafuta wapi naweza kupata msaada simu yangu ilianza kutoa hapo nikakumbuka kumbe nilitembea na simu niliipokea ile simu nakuweka sikioni.. hallo ben leo mko wapi mbona hata mwanafunzi mmoja hajarudi nyumbani kuna nini na mpo wapi hii leo ilikuwa ni sauti ya naomi ndipo na mimi nilimjibu jaman inaonekana hiyo shule imevamiwa na mimi kwa saa hizi sipo hapo shuleni mitaa niliyoko hata sifahamu ni wapi labda kama.kabla sijamalizia kuongea simu ilikata nikajalibu kupiga hapatikani, baba na mama nilipiga namba zao wote hazipatikani, niliacha na kuendelea na safari yangu nikiwa na lengo niifikie ile nyumba yenye taa kubwa ya nje. Nilitembea nikawa nishaifikia niligonga kwa nguvu kisha akaja mtu akiwa ndani, wewe nani nilijibu naitwa ben samahani nilikuwa naomba msaada wenu, baada ya mimi kuongea vile akaita kwa sauti baba njoo kuna mtu anashida, kisha sauti ikatoka ndani mfungulie tu aingie niliingia baada kufika ndani yule baba akataka nijitambulishe, nilijitambulisha hakuwa na maneno mengi akaamuru wanipe chakula, wakanionyesha bafu nikaoge kisha nilionyeshwa sehemu ya kulala kabla ya kulala nikamtafuta madam simu yake ikawa iko busy kwa kuwa nilikuwa nimechoka nikalala, lakini usiku wa manane nikiwa mule chumbani..itaendeleaaaaaaaaaaa

benchrys.blogspot.com

Jumanne, 9 Agosti 2016

de 10

Gangstar noma
by: benchrys
10
......Niliiweka ile simu chaji kisha wote tukaingia ndani na kuendelea na taratibu nyingine kiufupi ulikuwa ni wa sisi kufurahisha vinywa vyetu kwakuwa chakula kilikuwa tayari kipo mezani hatukua na budi kuanza kukila hii jion wote tulikula tukiwa ni wati wenye furaha sana hususani naomi ambae anasubilia masaa kadhaa tu nae aanze kuitimia simu yake ambae amenunuliwa na baba tulikula huku tukiendelea na stori baada ya dakika kadhaa tulikuwa tushatosheka vilitolewa vyombo mi nikawaaga kuwa naenda kujisomea maana ni kama siku ngapi hivi sijashika daftari mida ya jion kwajili ya kulipitia hata kidogo niliondoka na kwenda sehemu ambayo ni maalumu kwaajili yangu. nikiwa nimesoma karatasi mbili simu yangu ilitoa muungurumo wenyewe mnasema vibrate yaah ni hivohivo ni ishara ya kwamba kuna meseji iliingia kwenye simu yangu maana niliset hivo kuepusha usumbufu wa watu ambao watanitafuta muda nikiwa najisomea... Niliinyanyua simu na kuangalia ni meseji gan hiyo ndipo nikakutana na ujumbe kutoka kwa madam NIMEKUTUMIA TAYARI SALIO NINI TATIZO BEN DEAR!!!! niliposoma hivo nkajikuta nikicheka pekeyangu nlicheka kwa sauti hadi baba alisikia akaniuliza wewe umeingia huko kusoma au kuchat upuuzi. Hapana baba mi nipo nasoma tuu hii ilikuwa ni bahati mbaya tuu nilijibu hivo kisha kila mmoja akatulia hapo ndipo nikaichukua tena simu yangu na kumrudishia madam... Nielekeze jinsi ya kujiunga kifurushi cha data tu mana nimesahau kujiunga kisha nikaituma nikaendelea na kusoma ila mawazo yangu yote yalikuwa tayari yameshahama kabisa baada ya kuisoma ile meseji ya madam sikukaa sana iliingia meseji nyingine ambao ilikua ikitoa maelekezo jinsi ya kujiunga kifurushi cha data lakini nilipoona tu jinsi ya kuangalia salio na mimi kabla ya kujiunga ndipo nikaangalia kwanza salio langu iliporudi meseji ikanambia nina gb 2.7 Nikajisemea hapa hata sijaribu kutoa hela ili nijaze vocha hapo nikaelekea playstore na kuandila whatsapp niliidownload haraka nilivokua na hamu ya kuitumia hata kusoma nilisahau kabisa na kuendelea na internet yangu.... Baada ya mda mfupi ilikuwa tayari ishakubali kukaa kwenye simu yangu nikawa nafuata maelekezo jinsi ya kujiunga  zoezi hili nalo halikuchukua mda mrefu tayari nikawa nipo whatsapp nikamtumia madam kuwa nimefanikiwa akaridisha meseji poa nakuchek nilikaa kidogo kuna mlio ulitoka kwenye simu yangu akili yangu ikanituma au ndio meseji ya wasap huko nikafungua kwenye neno whatsapo lililopo kwenye simu ndipo nikaona jina madam kama nilivo save,  ndipo nikafungua kumbe ilikuwa ni meseji iliyoandikwa mambo... Kwa kutumia uzoefu nikamjibu shwari tyu
Ushalala...Hapana nipo najisomea tuu hapa
aya bhana kwakuwa ni mwanafunzi ila mi nishalala,alidisha meseji iliyoandkwa hivo huku kaambatanisha na picha yake akiwa na nguo yake ya kulalia siku jaji sana nikamrudishia usiku mwema naye akareplay lakini safari hii alitumia njia tofauti meseji ilikuwa ni kwa sauti na siyo maandishi.... Ni mimi nikawa na shauku ya kujua amefanyeje nilimuuliza unafanyaje kutuma hivi akanielekeza na mimi nikajaribu nadhani niliweza
*****
Siku ya pili nikiwa shuleni asubuhi sana madam aliniita kusema ben ole wako nikuone na....... Kabla hajamalizia aliitwa na mkuu wa shule hapo nilibaki na maswali kibao ole anione na nini atha mbona simwelewi aaah anyway atajua mwenyewe mda ulienda tukawa tayari tupo darasani nikiwa nimekaa jane alikuja nyuma yangu akiwa na uso wake wa furaha na mimi sikusita nilimwoneshea furaha mana ugomvi wangu na yeye tayari ulishaisha kisa ni kumwokoa dada yake naomi
    Mambo ben....
Powa tuu nambie jen... Mbona sikuhizi ni kama upo busy sana mana toka juzi ndio nimekuona halaf wanasema hujashinda shule hata mara moja aliuliza hivo jen ndipo nikamjibu mimi nipo sema hujawahi kunitafuta tuu ndo mana hukuwa ukiniona hujui mambo ya skul sometime inabidi tuu uwe mpole kaa maji ya mtungi.. Jane alicheka na kusema powa ben but nnarequest baadae naomba kabla ya kwenda home tuonane nilimjibu hakuna tatizo sema sio ujifiche kwa wenzako mimi nikatafute sijawahi kufanya hivo.. hapana usijali nitakufuata mwenyewe hata usijali alijibu hivo na kuelekea kwenye meza yake aliyopangiwa ile anakaa kwenye kiti mkuu wa shule aliingia na kusema ben... No kabla ya vyote hizi kelele ni za nini mshamaliza au mmesahau darasa lenu la mtihani,,, hapo kimya kikatawala darasani. Mkuu aliendelea nawauliza wenyewe hamnisikii au ndio kiburi mnaniletea kiburi mimi si ndio sasa ngojeeni kidogo nakuja.. Aliondoka kisha akarudi akiwa na fimbo kadhaa mkononi mwake akasema tunaanza na upande huu... Duuh yani huyu mwalimu anaona akimwadhibu mwanafunzi lazima atumie njia ya viboko....Mkuu aliendelea wote jiandaeni....,, Ila kabla hajaadhibu hata mwanafunzi mmoja madam linda aliingia na kusema jaman discussion mmeshamaliza au bado ben bila woga niliitikia bado tulikuwa tukiendelea tumepumzika kwaajili ya mkuu ameingia,,,, hapo mkuu aliishiwa nguvu mana anajua tulikuwa tunapiga tu kelele madam aligeuka kwa mkuu na kusema samahani mkubwa umeongea nao tayari au unaendelea mkuu alijibu nishamaliza kisha akatoka nje huku anatikisa tu kichwa, alifika hadi ofisini aliingia ndani na kutoka kisha....   Itaendeleaaaaaaaa

benchrys.blogspot.com