Ijumaa, 27 Mei 2016

SıҠųąmıŋı ҠąცıŞąą

2

...mzee kwa hapo cjakuelewa maana toka kitambo unaniletea mambo ya ajabu tuu hapa unaonaje kama ukijieleza na kutoa shida yako mapema maana hapa ni kama ushanichafulia cku yangu unaonaje uking'ang'ana na yako kuliko kupoteza muda nwingi kubaki hapa barabarani na mimi>>ni baadhi ya maneno ambayo nilimpa yule mzee ambapo nilitoa maneno hayo kwa namna Fulani nilikuwa namwogopa lakini wanasema ukitaka kumtisha adui yako jaribu kumkazi uso au kumpa makavu kama ni mwoga kilichonipa  nilipokumbuka comedy za mark angel kiufup naweza sema yule mzee alikuwa asha complain co kitoto mana pale ndipo akaongeza vile vitisho ambavyo alianzisha mwanzo kimoyomoyo nikajisemea kuwa daah hili inaonekana kama halina akili sawasawa maana kwa kauli kam anazonipa isitoshe ni mzee kama hv basi ngoja nijue uamuzi wake ila katika kichwa changu nikabaki najaribu kuvuta hisia hili zee mpaka linanikomalia huku cjui hata kisa nini linamatatizo au! Na wakati m bishani wangu alikuwa ndo kafura vibaya kutokana na yale maneno niliyojifanya kumtupia. Dah #beeenii aiseee naona ugomvi wangu na wewe leo unataka kuufikisha hadi mahali ambapo utakucost kumbuka usimtukane mkunga na uzazi ungalipo ivo kwa vimaneno ulivyosema hivyo ulikuwa ukimwambia nani maana kwa wewe hapo kunipa maneno kama hayo ni kwamba umejidhatiti vita na mimi najua utakuwa na maswali mengi kwanin ckuambii haraka chenyewe nimekuitia na kukusimamisha hapa kwa masaa mengi kama mwenyewe ulivokwishasema hapo nyuma ila tambua mstari kama ulipinda mwishoni utakutana tuu hata kama kwa kychelewA sana..ni baadhi ya maneno aliyonipa yule mzee ambayo ni kama alisaidia katika kuongeza kasi ya mapigo ya moyo wangu maana laiti ningekuwa nikihesabu  yale mapigo yalizidi kwenye namba inayosomeja 100 Wakati mimi nakumbuka mwalimu alinambia mapigo ya moyo ni 70 kwa dakika.  daah huyu mzee kwakweli Alinipania tena co kidogo maana maneno hadi vitendo vyake hakuna chenye uafadhali hata kidogo,,,,mzee baada ya hapo akaniuliza hvi kijana unaweza ukakumbka miaka miwili iliyopita na mpaka wewe kuhamishiwa kwenye hichi kimji cha washamba ukidhani umebikimbia mimi na huku hamkujua mimi ni mtu wa namna gani sasa ngoja nikuonyeshe hii leo kuwa ukichezea lazima na wewe uchezewe..alizidi kunizidishia matatizo ktk kichwa changu maana kuanzia hapo sasa nikawa na woga hata kama mwanzoni nilijipa matumaini ya kumsikiza nini atasema ila kwa sasa uvumilivu ulinishinda"" ile naendelea kuwazua nikaona mwanga mkali sana mbele yngu baada ya kitendo kile nikakumbuka hiyo miaka 2aliyoiongelea nikajikuta nikipiga magoti bila ya mtu mwingine kujua ni kwanini mimi napiga magoti kwa mzee yule ni baada ya kukumbuka kuwa miaka 2iliyopita...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni