Jumapili, 4 Septemba 2016

De 26

Gangstar noma
By: benchrys
26

.......ndani ya chumba changu kulikuwa na mwanga mkali ambao hata sikuweza kuelewa ni wapi umetokea nikajisemea pekeangu duuh hizi ndoto nazo bhana ivi bado nimelala au ni kweli, kiukweli sikuweza kuhisi kama mule chumbani tayari nimeshavamiwa maana nilikuwa nimechoka sana hii siku,nikiwa bado nimezubaa nilijikuta nikianguka chini huku macho yangu yakiwa yanaona giza tuu sikuelewa hata kinachoendelea mana ni kama nilirudishwa usingizini tena....

*******_******
    Wewe sasa utakuwa kitoweo cha samaki yaani hapa ukiamka tuu jua tayari upo kwenye hii bahari usumbufu wote dawa yake kumbe ilikuwa ndogo sasa kazi zetu zitafanywa kiuhuru zaidi ivi kitoto kama wewe isitoshe bado unaharufu ya milk tu halafu utusumbue"""""  oya safari bado sana maana nishamisi hewa humu ndani.
Aaah kudadeki gushamba gwa wapi inamaana hujawahi kupanda ndege boya nini uliza tena ubwege nikubetue sawa rasta.
Powa mana naona ushamaindi tayari zombi langu ila powa kichaa wangu wote tu mute tuu kama vipi ama nini.
Bora iwe hivo kulikokuuliza utahira huo ivi wewe unadhani hindi ni jirani kama kwa bibi yako kule,,,yalikuwa ni mabishano kati ya jamaa wawili wakiwa ndani ya ndege kwa wakati huu wote walitulia kimya bila hata kuongezana hata neno moja..
******

******jamani humu ndani ben katoroka au inakuwaje mbona kama hakuna mtu hivi na kila kitu cha ben kipo..yalikuwa ni maneno ya mama akiniulizia mana ilikuwa ni muda wa sa tano mchana lakini sikuonekana na hakuna aliweza kupata habari kuwa nimetekwa usiku huo, naomi alichukua simu yake na kupiga kwenye namba yangu cha ajabu alishangaa kusikia simu ikiitia chumbani kwangu bado
..mbona simu yake inaita humu ndani atakuwa yupo humuhumu tumngoje pengine jana alichoka sana, aliongea hivo naomi ambapo mama hakujibu chochote kisha akaondoka na kwenda chumbani kwangu " ben ben ben wewe beniiiiii....aliita zaidi ya mara kumi lakini hakuitikiwa na mtu yeyote ndipo akaamua kufungua mlango lakini cha kushangaza mlango huu ulikuwa haujafungwa ulikuwa upo tuu wazi umerudishwa basi mama alichanganyikiwa kibaya kila kitu changu kilionekana ndani mule hapo ndio mama alianza kulia taratibu huku akitoka nje, naomi alimuona akilia na baada ya hapo nae akataka kujua mama analia kwanini lakini hakujua:::siku zote uchungu wa mwana aunuaye ni mzazi hao wengine wapambe tuu pengine ndio wanaokusababishia hayo matatizo ambayo unayapitia....:: naomi baada ya kumwuliza mara kadhaa mama kwann analia lakini hakujibiwa ilimbidi Naomi aende ili nae akajue kuna nini huko ndani lakini hakuweza kuelewa chochote akanyanyua tena cm ili anipigie hapo ndipo akasikia tena simu ikiita chumbani kwangu baada ya mda mrefu nae akajisemea huyu inawezekana hayupo ndio asingepokea simu tuu akafungua mlango wangu nae hakuweza kuamini akajikuta nae mchozi ukimtoka taratibu mana tangu nimerudi sina hata wiki moja nishaondoka lakini hakuna anaejua kuwa nimetekwa
***********

******ndege ile ilifika hadi airpot ya wapi hata sikujua lakini mda huo ndio nilikuwa nazinduka toka nilipozimia kule nyumbani baada ya kujiangalia nikajiona nimefungwa kamba mikinoni halafu sehemu niliyopi hata siijui akili yangu kabla ya kumwuliza mtu nikajua hapa tayari nipo pagumu inanibidi nifanye kitu lakini niliweza kugundua kuwa kuna hawa watu wawili mbona sio wa kawaida baada ya kuhisi hivo nilijituliza tena kama bado sijazinduka , hapo nikawa naendelea kusikia na maongezi yao
""""hata rasta ulikuwa unauliza kama bado sana kufika sasa hapa ndio tupo airpot umakini unahitajika tena mfungue hizo kamba kabisa halafu tufanye mpango wa kujua namna gan atachukuliwa,, usijali huyu atachukuliwa tuu kama mgonjwa kwenye chela sio la kuwaza hilo kwakua gari tunalosio shida hata kidogo. Rasta alimjibu hivo yule mwenzake kisha wakaja kunifungua kamba wakanivalisha viatu na nguo nzuri kwa lengo wasishitukiwe na mtu ila kwa upande wangu niliona kama wamenipa msaada mkubwa sana, walifanya mambo yao yote hadi wanamaliza kisha wakachukua machela huku wakiniweka kama mtu mahututi kabisa kumbe ni mzima kisha nikaingizwa kwenye ambulence fulani nyeupe hapo ndipo nikafumbua macho mana ndani ilikuwa giza kidogo lakini kabla hawaja funga mlango waliitana upande mwingine na kuanza kijadiliana namna ya kumuuza yule dereva wa ile ambulence na mimi nikaona hii ndio nafasi yangu ya kujitetea kwakuwa maelezo yao nilisha yasikia mda mrefu haikunipa shida nilinyanyuka kwa kunyata hadi nikatoka nje kabisa nikasogelea hadi ule upande wa dereva niliweza kuona miwani myeusi nadhani ya kupunguza mwanga niliichukua nakuivalia nikafuata gari moja hivi aina ya jeep ambayo mlango wake ulikuwa wazi huo mda wote nikachukua briefcase na kuondoka nayo kama yangu vile nilielekea katika sehem ya passpot na kutengeneza ya kwangu kisha nikarudi kwenye ile gari tena na kuchukua funguo za gari kisha nikaelekea sehem nyingine mbali kabisa na pale ambapo niliingia katika hoteli fulani na kujipatia kifungua kinywa bila swali kutoka mtu yeyote (pesa zote nilizokuwa nikitumia ni za hawa rasta na mwenzake huyu ambapo wao bado tuu walikuwa wakiongea juu ya kumuuza dereva ili wakamteketeze ben baada ya kuwa wamesha panga mipango yao walifunga mlango wa ambulenc ile na kuanza safari kuelekea hospital wasijue kuwa ndani hakuna mtu dereva aliondoka na lile gari taratibu jua, lilikuwa limuumiza macho akapeleka mkono mbele iliachukue miwani yake lakini hakuiona
"aaaaaaah shit hii miwan imeenda wapi tena mbona hii miujiza niliweka hapa lakini hamna kitu au kuna mtu kaingia, akaendelea na safari kibishi baada ya kujisemea maneno yale.........

Oya washa gari tumfuate huyu dereva fasta asije akatupotea maana itakuwa so hapa,, rasta alimuamuru yule mwenzie huku yeye akinyanyua simu iliamcheleweshe dereva,,,mbona funguo siioni uliweka wapi kwani rasta angalia zinapokaa bhana vipi tubachelewa ujue, alimjibu rasta kwa yule mwenzake baada ya mwenzake kulalamika kuwa haioni funguo wasijue nao washavamiwa na kuchukuliwa funguo pamoja na hela na aliyechukua ni ben... Mawazo yao yaliwatuma kuwa funguo zitakuwa kwenye suluari waliyomvalisha ben ambae wanaamini yupo kwenye gari la wagonjwa lile. Hawakuzubaa wakanyanyua simu na kumpigia dereva lakini dereva hakupokea walimpigia tena safari hii alipokea na kukata, hapo rasta na mwenzie walizidi kuchanganyikiwa walijitahidi kupiga simu tena ndipo ilipokelewa kwakuwa alikuwa tayari ameshafika
::hallow dereva
::ya ndio mnasemaje
::aisee tumesahau funguo za gari kwenye mifuko ya suluari ya huyo mgonjwa msaada wako tafadhali
::ok hamna shida njooni mzifuate tuu nawangoja
::ok sasa hivi nakuja. Simu ilikatwa

,,,,,,,chukua briefcase tuondoke fasta asije akaingizwa hadi wodini. Aliongea mwenzake na rasta yule
Rasta..aisee humu leo mbona mauzauza tuu
Mwenzie..ni na wewe twende huko,
Rasta.. Mbona hakuna kitu humu.
Wote walibaki wameshika vichwa kama wamefiwa huku wakiwaza ni jinsi gani watafanya lakini walichokiwaza wasimpoteze ben tuu. Kila mtu akatoa pesa zake mfukoni wakachangiana na kukodi taxi iwafikishe hospital kule....baada ya mda wakawa wamefika kule hospital. Dereva alijitahidi ule mlango hakuufungua hadi wanafika, baada ya kufika wanyoosha kwenye lile gari na kufungua lakini cha ajabu hawakuona kitu
*****
Ben nae baada ya kugundua yupo wapi alikata tiketi ya kumrudisha njombe zoezi lilikamilika siku inayo fuata tayari nilikuwa nyumbani kila mtu aliuliza ulikuwa wapi lakini sikuwajibu niliingia chumbani nikachukua simu na kumtafuta merry nikamwambia naenda nilichukua baadhi ya Nguo na kuondoka,, nilifika kwa merry saa 7 mchana hiyo siku alifunga mgahawa mapema na kurudi nyumbani mana hakuandaa chochote...

******rasta alimpiga kofi zito dereva na kumpeleka kwenye ule mlango halafu kwa hasira alikuwa ameshika simu mkononi aliibamiza chini akamgeukia dereva na kumwambia ivi dereva.....lakini kabla hajamaliza kuongea mwilini alihisi.....itaendeleaaaaaa

benchrys.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni