Gangstar noma
By: Benchrys
16
.......nilikipokea kile kufaa ambacho alinikabidhi baada Ya hapo akanambia soma maelekezo usipoelewa utaniuliza, swali la kwanza kumwuliza ilikuwa.. Hiki ni kwaajili ya nini hakusita akanijibu kwamba hichi ni kwaajili ya kupigisha short kwa mtu ambae atakuwa amejaribu kuisogelea hii nyumba endapo mimi sijapenda ujio wake siwezi nikamwacha hata kidogo mana kama hawa wanakutafuta wewe na mimi siwezi nikakubali huu upuuzi wa kuingiza majambazi humu ndani eti waichore nyumba yangu na mimi niwaache kitu kingine sikukwambia hii nyumba nikitaka ukae humu mwaka na usitoke njee uwezekano huo upo..... Kabla hajaendelea kuielezea sana ndipo nikamuuliza ni fundi nani aliyeijenga hii nyumba mana ramani yake nimeipenda sio kidogo,,,,,,
Daah ben mimi ningeweza kujenga nyumba kama hii.. Ni kastori ila siyo karefu sana alisema hivo na mimi nikadakia kwa kuuliza nisimulie tuu merry au sitakiwi kujua kabisa???? Baada kuuliza hivo alinijibu kwamba usijali nakupa tuu hiyo stori usiwaze tulitulia kimya wote kama nusu saa hivi kisha akaanza
*****ilikuwa ni mwaka 2010 kaka yangu alikuwa anatoka jeshini ile siku ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu maana aliniletea zawadi nyingi sana hadi baba aliuliza kuwa huko jeshini kuwa promo ya hela au kaiba hela za watu kakaangu hakujibu chochote zaidi ya kuendelea kutoa zawadi alikaa pale nyumbani kwa mda wa wiki moja tuu kisha alitoweka tuu gafla na hakuna aliyejua kaenda wapi hadi wanajeshi wenzake walikuwa wakimtafuta wasijue wapi kapotelea ila kilichonishangaza mimi ni pale ambapo waliamua kuja kupangisha baadhi ya wanajeshi wenzao katika mtaa wetu hilo likanifanya nishtuke zaidi na kuanza kujiuliza maswali lukuki ila sikupata jibu lolote lile maana mtu wa kunijibu hakuwepo basi siku zilisonga zikaenda baada mwaka mmoja, nakumbuka hiyo siku nilienda mjini ili nifike super market nikanunue vitu nilipokuwa nikiusogelea mlango nilidakwa nikazibwa mdomo kwa kitambaa fulan hivi ili nisiweze kutoa sauti yoyote kwakuwa sikuwa na nguvu yoyote nilitulia kama nipo kwa kinyozi nachonga nywele hapo nilichukulia hadi eneo moja ambalo kulikuwa ni giza halafu nikasikia merry lilitajwa jina langu mda huo mimi tumbo joto natamani kukimbia lakini nilitaitiwa vibaya sikuwa na ujanja wowote kwakuwa sikuwa na namna ilinibidi tuu niitike abee we ni nani tafadhali mana zilipowashwa taa mle ndio tulikuwa sisi wawili tuu mimi na yule kaka. akanambia tafadhali usiogope chochote mimi si mtu mbaya isipokuwa sijaona njia nyingine ya kukupata zaidi ya hii......akiwa anataka aendelee kuongea nikauliza tena wewe ni nani nimeuliza hakuwa na jibu akashika kidevu chake na kukivutia juu kisha uso wote ukavulika sikuamini nilichoweza kukiona hapo woga wote ulitoweka "waoooh kumbe ni wewe nilisimama na kwenda kumkumbatia ni baada ya kugundua kuwa alikuwa ni kakaangu moses baada ya kujua ni yeye ndio tukaendelea na stori nilimuuliza sasa kwanini unajificha hivi alinijibu ile siku nimerudi nyumbani nikatoa zawad nyingi kama ulikuwa makini baba aliuliza kuwa jeshini wanatoa hela sikumjibu chochote na ukweli ni kwamba zile pesa niliziiba tena sio zile tuu ni zaidi ya zile . baada ya kaka kusema nilibaki tuu mdomo wazi kisha akaendelea kunambia merry kuna nyumba nahitaji nikukabidhi uwe unaishi kuanzia sasa ntakwenda kukuonyesha ili uione nilimuuliza vipi kuhusu wazazi alijibu kuwa inabidi wasijue mana wakijua tuu hii nyumba itanyang'anywa nilikubaliana nae kisha tukaondoka na yeye akiwa kavalia ile sura ya bandia na hapo ndipo alikuja kunikabidhi hii nyumba****
merry alihitimisha hivo stori yake kisha tukaendelea na vitu vingine
Ila kwa upande wangu bado nlikuwa na shauku ya kutaka kujua. Merry samahani kama ntakukwaza nna swali nataka kukuuliza hapa akanijibu uliza tuu ben ua free to ask nikwamwambia ok kwahiyo huyo bro wako alirudi tena jeshini au akarudi mtaani.. Ahaa yeye alinambia anaenda kujisalimisha na kuwadanganya ili wasimfuatilie zaidi maana hata nyumba hii hati miliki inajinihusu mimi tuu licha ya kuwa hizo hela alizoiba ndio alinunulia hii nyumba...
Mda ulisogea kidogo kisha tukaamua kwenda kuwasha tv ili tupate japo taarifa ya habari tujue kinachojiri
***mtoto anafahamika kwa jina la ben ama benchrys anatafutwa alipotea katika mazingira ya kutatanisha walipokuwa shuleni kwa yeyote atakaye mwona atujulishe kupitia namba 0712345678 au toa taarifa kituo cha polisi kilichojirani nawe mtoaji taarifa ni Hamis mkuu*** hizo ndio taarifa ambazo tulikutana nazo kwenye tv tulipokuwa tukiwasha merry akabaki kuniangalia tu nilijalibu kutulia kimya lakini ilinilazimu tuu kuongea
Merry: ben yule ndo baba ako au mbona huyu mzee namfahamu na yeye ni mwisilamu tofauti na wewe mkristo... Nilimjibu hapa ndo mana nashangaa mtu hakujui ataanzeje kutangaza anakutafuta huku hamjuani dah hii shida ila huyu dawa yake ni ndogo sana namkomesha. Nilijisemea hivo kisha merry akauliza sasa utamfanyia nini. Nilimjibu sorry unaline ya simu ambayo hutumii alijibu ndio ninayo utanyaje nishirikishe tuu ben.... Ngoja nitachukua hiyo namba kisha.........itaendeleaaaaaaaa
benchrys.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni